Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ney wa mitego amepata ajali mbaya
akiwa na gari lake aina ya Alteza
Akizungumza na Ney alisema...
"Ilikua saa tisa na nusu usiku nilikua natokea masaki kuwachukua
washkaji zangu ndo nilikua narudi home LorI la mchanga liliingia nyuma
ya gari langu pale kwenye mataa ya Maisha Club kwenda moroco na kwa
bahati mbaya jamaa akakimbia kwasababu nahisi alidhani ameoua maana gari
alienda kuingia kwenye mtaro...
Nashukuru mungu mimi mzima ila mguu tu ndo umeshtuka kidogo"......…
SOURCE:TEEN TZ