WAZIRI WA HABARI AKUTANA NA BALOZI WA UINGEREZA

IMG_0297Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akiongea na Balozi wa Uingereza hapa nchini Bibi Diane Corner wakati Balozi huyo alipomtembelea Mheshimiwa Waziri Ofisini kwake leo Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM).

IMG_0303 Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akiongea na Balozi wa Uingereza hapa nchini Bibi Diane Corner wakati Balozi huyo alipomtembelea Mheshimiwa Waziri Ofisini kwake Jana.Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM).


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo