Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda
Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mh EmmanuelNchimbi
Muda mchache uliopita Waziri mkuu Mheshimiwa Mizengo PK Pinda, Waziri wa Mambo ya Ndani Mheshimiwa Emmanuel Nchimbi na IGP Saidi Mwema Wamewasili Mtwara.
Kuwasili kwa viongozi hao mkoani Mtwara kunatokana na vurugu zilizozuka juzi Mtwara mjini na jana kuhamia wilaya ya Masasi ambapo watu kadhaa wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa sambamba na uharibifu mkubwa wa mali na Sasa wapo Ikulu ndogo wakiendelea na Mazungumzo na wenyeji wao