Mwalimu wa Shule
ya Sekondari Kawe Ukwamani, jijini Dar es Salaam, Peter John (wa nne
kushoto mwenye suruali) akiwaelekeza baadhi ya wanafunzi walioripoti
shuleni hapo leo asubuhi kwa ajili ya kuanza muhula wa masomo ya
Sekondari baada ya kufaulu mtihani wa darasa la saba wa 2012 na
kuchaguliwa kujiunga na shule hiyo. Wanafunzi wote waliochanguliwa
kujiunga na masomo ya Sekondari Kidato cha kwanza, na wale wa sekondari
waliokuwa mapumzikoni, wametakiwa kuripoti shuleni hii leo kote nchini.
Picha na www.sufianimafoto.blogspot.com
WALIOFAULU DARASA LA SABA 2012 KWENDA KAWE UKWAMANI WARIPOTI SHULENI LEO
By
Unknown
at
Monday, January 07, 2013