Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya
Mabadiliko ya Katiba, Bw. Solanus
Nyimbi (kushoto) akitoa maelezo kuhusu mfumo wa uchambuzi wa maoni ya
wanachi kwa wafanyakazi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa
na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)wakiongozwa na Kaimu Katibu Mkuu, Bw.
Jamanne Sagini (kulia) wakati waliotembelea ofisi za Tume hiyo jana
(jumanne januari 15, 2013).
Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya
Mabadiliko ya Katiba, Bi. Nenelwa
Mwihambi (kulia) akitoa maelezo kuhusu mfumo wa uchambuzi wa maoni ya
wanachi kwa wafanyakazi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa
na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)wakiongozwa na Kaimu Katibu Mkuu, Bw.
Jamanne Sagini (Kaunda suti nyeupe) wakati waliotembelea ofisi za Tume
hiyo jana (jumanne januari 15, 2013).