MKUTANO WA CHADEMA NJIRO MOSHI


 Katibu mkuu wa Chadema Dk Wilbroad Slaa akihutubia maelfu ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Reilway Njoro mjini Moshi.

 
Maelfu ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Reilway Njoro mjini Moshi na kuhutubiwa na viongopzi mbalimbali wa chama cha demokrasia na maendeleoCHADEMA,wakiongozwa na Dk Wilbroad Slaa.
Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema akichangisha fedha kwa ajili ya kufanikisha mikutano ya chama hicho inayoendelea sasa maeneo mbalimbali nchini.

 Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akihutubia maelfu ya wananchi katiika viwanja vya Railway Njoro wakati wa mkutano wa hadhara.
 Moja ya wakazi wa mji wa Moshi ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja akicheza wakati wa mkutano wa hadhara wa Chadema uliofanyika viwanja vya Railway Njoro mjini Moshi.
 Vijana wa sarakasi wakionesha umahiri wao mbele ya Dk Slaa wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Railway Njro mjini Moshi.


Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari akiteta jambo na katibu wa chadema mkoa wa Kilimanjaro Basl Lema ,kulia kwake ni Dk Slaa.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo