Mamia ya wananchi wa Igunga
Wakilipuka kwa furaha katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika
uwanja wa Barafu mjini
Igunga baada ya kuzindua ujenzi wa daraja la Ndutu pamoja na mradi
mkubwa wa maji utaohudumia asilimia 70 ya wakazi wa Igunga ambapo Rais
Jakaya Kikwete aliung'uruma leo hii

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana
kwa kuwapungia mamia ya wananchi wa Igunga
katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika uwanja wa Barafu mjini
Igunga baada ya kuzindua ujenzi wa daraja la Ndutu pamoja na mradi
mkubwa wa maji utaohudumia asilimia 70 ya wakazi wa Igunga.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia
mamia ya wananchi wa Igunga
katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika uwanja wa Barafu mjini
Igunga baada ya kuzindua ujenzi wa daraja la Ndutu pamoja na mradi
mkubwa wa maji utaohudumia asilimia 70 ya wakazi wa Igunga.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mamia ya
wananchi wa Igunga Mara baada ya kumaliza mkutano mkubwa wa hadhara
uliofanyika uwanja wa Barafu mjini
Igunga baada ya kuzindua ujenzi wa daraja la Ndutu pamoja na mradi
mkubwa wa maji utaohudumia asilimia 70 ya wakazi wa Igunga.Picha na
IKULU