Waziri mkuu Mizengo Pinda akiwasili kufungua mkutano mkuu wa Baraza la
wafanyakazi wa serekali za mitaa Talgwu kushoto kwa waziri mkuu ni
Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu Tawala za mikoa (Tamisemi) Mh Hawa
Ghasia na kulia ni Mwenyekiti wa Talgwu Edna Mwaigomole mkutano huo
unafanyika mkoani dodoma
Mh Waziri mkuu Mizengo pinda
amezindua Tovuti ya chama cha wafanyakazi
wa wa serikali za mitaa kulia kwa waziri mkuu anaye shuhudia uzinduzi
huo ni Mwenyekiti wa chama hicho Bibi Edna Mwaigomole na aliye vaa tai
ni mtalamu wa kompyuta uzinduzi ume fanyika leo mjini Dodoma
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiimba wimbo
wa mshikamano kabla ya kuanza
mkutano mkuu wa baraza la wafanya kazi wa serekali za mitaa Talgwu
amabao una fanyika mjini Dodoma kushoto kwa waziri mkuu ni Waziri wa
nchi ofisi ya waziri mkuu tawala za mikoa( Tamisemi) Mh Hawa Ghasia
nakulia kwa waziri mkuu ni mwenyekiti wa Talgwu Edna Mwaigomole pamoja
naviongozi wengine
Picha ya washriki pamoja na Waziri mkuu.Picha na Chris Mfinanga