
Mke
wa
Rais na Mwenyikiti wa Taasisis ya WAMA ,Mama salma Kikwete (alievaa
kitenge) akiogozana na watendaji wakuu wakielekea kwenye Ukumbi wa
Mikutano wa AICC jijini Arusha jana.
Mama
Salma Kikwete akifurahia ngoma ya msanja ya kikundi cha akina mama huko
Arusha.


Mke wa
Rais na Mwenyekiti wa Taasisisi ya WAMA , Mama Salma Kikwete akizungumza
wakato akifunga kongamano la Kimataifa la Afya ya Uzazi la siku 3
Katika ukumbi wa mikutano ya kimataifa wa AICC mjini Arusha jana,
Kongamano hilo lilewashirikisha wataalamu wa masuala ya afya ya uzazi
wapatao 800 kutoka mataifa mbalimbali ulimwenguni.

Waziri
wa
Wizara ya Afya Zanzibar,Dkt. Juma Haji Duni akiongea katika kongamano
hilo jana mjini Arusha.kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mh. Magesa
Mulongo

Naibu
Wazirii wa Afya,Dkt. Seif Rashid (Kulia) ,Waziri wa Afya Zanzibar,Dkt.
Juma Haji Duni (kati) na Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mh. Magesa Mulongo
wakifuatilia Kongamano hilo.
Baadhi
ya
wataalamu wa kongamano la Kimataifa la afya ya uzazi wakimsikiliza Mke
wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA , Mama Salma Kikwete (hayupo
pichani wakati wa kufunga kongamano hilo Jana jijini Arusha, ambapo
wataalamu wa masuala ya afya ya uzazi zaidi ya 800 kutoka ndani na nje
ya nchi wamehudhuria.
Picha ya pamoja na watendaji wakuu wa
kongamano la Kimataifa la Afya ya Uzazi.Picha zote na Mwanakombo Jumaa-
MAELEZO