"KAMA SIO POLISI KWA KWELI NINGEKUFA"

JAMAA ANAEHISIWA KUWA MWIZI WA MOTA AMEPATA KIPIGO KIKUBWA NUSURA AUWAWE KWA HASIRA ZA MWANANCHI AMEJULIKANA KWA JINA MOJA TU WILLY
JAMAA HUYU INASEMEKANA NI MZOEFU SANA WA WIZI ANATAFUTWA SANA ENEO LA ISYESYE JIJINI MBEYA KWA TUHUMA ZAKE ZA WIZI
HII NDIYO MOTA ALIYOKUTWA NAYO HUYO ANAEHISIWA KUWA MWIZI
JAMAA ASHUKURU POLISI LASIVYO MAUTI YANGEMKUTA
PICHA NA MBEYA YETU


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo