PICHA: MACHANGUDOA WAKIPELEKWA MAHAKAMANI


Wanawake wanaotuhumiwa kufanya biashara ya ukahaba wakiwa Chini ya Ulinzi wa askari kwenye Mahakama ya Jiji la Dar es Salaam, baada ya kukamatwa maeneo mbalimbali ya Wilaya ya Kinondoni kwenye oparesheni ya kuwakamata inayofanywa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, jumla ya watuhumiwa 14 pamoja na baadhi ya wateja wao wamefikishwa kwenye mahakama hiyo.


Wanawake hao wakiwa na baadhi ya wateja waliokutwanao wakifanya ngono baadhi yao wakificha sura zao.

Wakiwasili kwenye mahakama ya jiji huku wakificha sura ili wasionekane.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo