Mapenzi yao yalianza tangu binti akiwa kidaato cha tatu
lakini halikuwa penzi lenye mashamu shamu kwa kuwa wabababa alikuwa bado
hajamiliki pesa na heshima katika jamii inayomzunguka kama sasa mara tuu
baada
ya kuchukua kifuta jasho cha bss na vijihela alivyopewa na mapapaa
waliokubali
kazi aliioifanya bss hivyo kuwa na kiburi kilichomfanya amtie mimba
mwananfunz
ambae aligundulika kuwa ametoa mimba mara taarifa za mahusiano ya wababa
na
mwanafunzi huyo kufikishwa kwa mama mzazi wa binti huyo.
Wababa aliwekwa ndani
kwa muda wa siku mbili na kesi bado ipo mahakamani na wazazi wa binti
wameapa
kumweka ndani wababa na kumfanya kama Babu Sea huku binti akiwa
hajaonekana
siku ya 4 sasa na kutokujulikana alipo kwa madai anampenda wababa na
wakimfunga
tu nae anakunywa sumu.