
Mawakili wa muigizaji wa filamu nchini Elizabeth Michael Kimemeta aka
Lulu, wamewasilisha maombi ya dhamana kwa mahakama kuu ya Tanzania.
Maombi hayo yametumwa wakati kesi ya Lulu aliyepo katika gereza la
Segerea ikitegemewa kusikilizwa January 25 mbele ya jaji Zainab Mruke.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi