KKKT DAYOSISI YA KUSINI KATI YAZINDUA MRADI MWINGINE WA MAJI LUPILA WILAYANI MAKETE

 Hapa ndipo kilipo chanzo cha maji ya kijiji cha Lupila
 Viongozi wa kanisa na serikali walifika kuona chanzo hicho cha maji
 Tanki la kuhifadhia maji ya mradi huo wa Lupila likiwa na uwezo wa kuhifadhi lita 100,000 za maji
 Naibu waziri akipata maelezo kutoka kwa mtaalamu

 Askofu Levis Sanga akizindua mradi wa maji Lupila wenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 129
 Naibu waziri wa maji na mbunge wa jimbo la Makete Dkt. Binilith Mahenge akikata utepe kuashiria ushirikiano baina ya kanisa na serikali katika mradi huo wa maji
 Naibu waziri Dkt Mahenge akimtwisha maji mama mmoja kama ishara ya kuukubali mradi huo
 Naibu waziri akichota maji kwa kushirikiana na mkuu wa wilaya ya Makete Josephine Matiro
 Naibu waziri akinywa maji hayo

 Dkt Binilith Mahenge akihutubia wakazi wa Lupila kuhusu mradi huo wa maji
 Viongozi wa halmashauri ya wilaya ya Makete wakimsikiliza Dkt Mahenge
 Mkuu wa wilaya ya makete Josephine Matiro akizungumza na Vasa man
Wakazi wa Lupila wakishuhudia uzinduzi huo


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo