KKKT DAYOSISI YA KUSINI KATI YAZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI KISASATU WILAYANI MAKETE

 Hii ndiyo mandhari ya kijiji cha Kisasatu wilayani Makete
 wananchi wa kijiji cha Kisasatu waliofika kushuhudia uzinduzi huo
 Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa na serikali walioshiriki uzinduzi huo
 Askofu wa dayosisi ya kusini kati Levis Sanga akizindua rasmi mradi huo wa maji katika kijiji cha Kisasatu
 Katibu mkuu wa dayosisi ya kusini kati Samwel Mbilinyi akisoma taarifa ya mradi huo
 Naibu waziri wa maji na mbunge wa jimbo la Makete Dkt Binilith Mahenge(mwenye suti) akifurahi mara baada ya kukata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa mradi huo
 Naibu waziri wa maji na mbunge wa jimbo la Makete Dkt Binilith Mahenge akihutubia wakazi wa Kisasatu kuhusu mradi huo wa maji


 Hapa Dkt Mahenge akipata maelekezo kutoka kwa mhandisi kutoka wizara ya maji(mwenye chupa ya maji) kuhusu tanki la kuhifadhia maji ya mradi huo wa Kisasatu mara baada ya kutembelea na kuona tanki hilo
 Mch.Vasa man ambaye ni miongoni mwa wafadhili wa mradi huo wa maji kutoka nchini Ujerumani akizungumza na wanahabari kuhusu mradi huo
 Tanki la kuhifadhia maji la mradi huo wa kisasatu lenye uwezo wa kuhifadhi maji lita 45,000
Miundombinu ya barabara kwenda kisasatu sio nzuri sana kama unavyoona gari la naibu waziri wa maji lilivyochafuka


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo