KIFO CHAZIDI KUBISHA HODI KWA WASANII

Msanii wa muziki aina ya mchiriku hapa nchini Tanzania Omari Omari amefariki dunia leo.

Akielezea kifo cha msanii huyo Mkubwa Fella ambaye ni jirani yake amesema marehemu Omari Omari alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kifua.

Marehemu Omari Omari aliwahi kutamba sana na wimbo wake wa mchiriku ulioitwa 'Kupata ni majaliwa'.
Photo: R.I.P Omari Omari

BREAKING NEWS: Msanii wa muziki aina ya mchiriku hapa nchini Tanzania Omari Omari amefariki dunia leo.

Akielezea kifo cha msanii huyo Mkubwa Fella ambaye ni jirani yake amesema marehemu Omari Omari alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kifua.

Marehemu Omari Omari aliwahi kutamba sana na wimbo wake wa mchiriku ulioitwa 'Kupata ni majaliwa'.

JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi

© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo