Ndugu na jamaa wakiwa na majonzi msibani kwa marehemu Omar Omar, Temeke-Mikoroshini jijini Dar.
Marehemu Omar Omar enzi za uhai wake.
Dada wa marehemu (hakufahamika jina lake mara moja) akiwasiliana na ndugu wengine ambao hawapo msibani.
Mwanamuziki wa kizazi kipya, Dully Sykes, mwenye T-shirt ya mistari
(nyuma katikati) akibadilishana mawazo na wazee msibani hapo.



