KAMERA YANGU LEO HII

 Hiki ni kituo cha mabasi mkoa wa Njombe ambacho endapo mvua ikinyesha inakuwa kero si kwa abiria tu bali kwa wafanyabiashara kituoni hapo pamoja na kwa magari yanayoingia na kutoka kituoni hapo
 Hapa ni eneo la mabehewani wilayani Makete ambapo pamekuwa kero hasa kwa magari yanayoingia na kutoka eneo hilo hususana kipindi hiki cha mvua
 Mhhhhhhhhh!


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo