Wajumbe wapya wa kamati ya siasa wilaya ya Makete mara baada ya kutangazwa hapo jana
Mzee Nelson Mpalala akishukuru wajumbe kwa kumchagua
Mama Janeth Nganyange naye akishukuru kuchaguliwa
Bw. Emannuel Sanga akifurahia kuchaguliwa kuwa mjumbe wa kamati ya siasa wilaya
Mwakilishi wa Sara Shembekeza akiwashukuru wajumbe badala ya Shembekeza ambaye alikuwa safarini kikazi
Mh. Egnatio Mtawa mjumbe wa kamati ya siasa wilaya ya Makete akiwashukuru wajumbe kumchagua
Mh.Naibu waziri wa maji na mbunge wa jimbo la Makete Dk. Binilith Mahenge akiwapongeza wajumbe hao na kuahidi kutoa ushirikiano wa kutosha kwa wajumbe hao






