Mtandao wako uupendao wa www.globalpublishers.info
kwa sasa upo hewani baada ya kutopatikana kuanzia Jumatano asubuhi
kutokana na
matatizo ya kiufundi ambayo
yameshughulikiwa ipasavyo na wataalamu wetu. Ni matarajio yetu kuwa
tatizo kama hili halitatokea tena.
Tunawaomba radhi wasomaji wetu
pamoja na watu tunaotangaza nao kwa usumbufu wowote uliojitokeza katika
kipindi hiki. Kwa sasa tunaendelea kuwapa habari motomoto kama kawaida
wasomaji wetu.
Asanteni kwa uvumilivu wenu.
Web MasterGlobal Publishers
Ltd