Baadhi ya askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania wakimshusha mwenzao
baada ya kujigonga kwenye mti na kujuruhiwa vibaya na kupasuka sehemu
za kichwani wakati akiwa kwenye Lori lenye namba za usajili 5514 JW 07
aina ya IVECO kandokando ya barabara ya Samora jirani na Idara ya
Habari (Maelezo) jijini Dar es Salaam jioni hii. (Picha na Habari Mseto
Blog)
Baadhi ya wasamalia wema wakimpeleka hospitali majeruhi huyo.
Majeruhi akiingizwa katika Bajaji tayari kwa ajili ya kupelekwa hospitali.
Lori aina ya IVECO ambalo majeruhi huyo alikuwa amepanda.
Hii ndio Barabara ya Samora ilipotokea ajali hiyo.
Hapa ndipo alipojigonga majeruhi na kupasuka sehemu za kichwani.