ANGALIA PICHA ZA DADA WA KAZI ALIYEJINYONGA MAENEO YA TABATA DAR ES SALAAM

Dada wa kazi za nyumbani wa eneo la Tabata Barakuda aliyejiua jana saa moja usiku na bado chanzo hakijulikani
Machela ya kubebea mwili wa marehemu ilifika
Waliuingiza mwili wa mdada huyu mwenzetu na kuondoka nae ambapo blog hii itaendelea kuwajulisha taarifa kuhusiana na kile kilichomsibu mdada huyu
Watu wakiuchungulia mwili wa marehemu
Umati wa watu ulikusanyika kujua nini chanzo
Inasemekana kuwa hilo ni tukio la pili kujitokeza katika eneo hilo
Hapa kazi yao ikiendelea ya kuhoji wahusika
Maaskari Polis wa kituo cha Rozana wakichukua maelezo
 
Chanzo:TZdadaZ


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo