Mwenyekiti wa Wama mama
Salma Kikwete akikata utepe kama ishara ya kukabidhi vitanda 80 kwa
uongozi wa Hospitali ya Muhimbili leo, kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi
wa jamii Dk. Hussein Mwinyi na kushoto ni Mkurugenzi wa Hospitali ya
Muhimbili Dk Marina Njelekela.
PICHA NA FULLSHANGWEBLOG.COM
Mama Salma Kikwete akisoma
hotuba yake mara baada ya kukabidhi vitanda 80 katika hospitali ya
Muhimbili leo (kushoto) ni Waziri wa Afya na Ustawi wa jamii Dk.
Hussein Mwinyi na kulia ni Mkurugenzi wa Hospitali ya Muhimbili Dk
Marina Njelekela.
Waziri wa Afya na Ustawi wa
jamii Dk. Hussein Mwinyi akisoma hotuba yake.
Baadhi ya Mganga na wauguzi
wa hospitali ya Muhimbili wakishuhudia tukio hilo.
Mama Salma Kikwete akiongozwa
na Mkurugenzi wa Hospitali ya Muhimbili Dk. Marina Njelekela kushoto
wakati akielekea wodini kuwatembelea wagonjwa, kulia ni Waziri wa Afya
na Ustawi wa Jamii Dk. Hussein Mwinyi na katikati ni Mkuu wa Wilaya ya
Ilala Raymond Mushi.
Mama Salma Kikwete akimjulia
hali Anna Razalo kutoka Nyegezi Mwanza mmoja wa wagonjwa wa moyo
aliyelazwa hospitalini hapo.