Kikosi cha paredi cha Jeshi la
wananchi la Tanzania (JWTZ) Kikipita mbele ya maofisa wa Vyombo vya
ulinzi na Usalama wakati wa gwaride la majaribio la kuadhimisha miaka
51 ya Uhuru wa Tanzania katika uwanja wa Uhuru leo asubuhi ambapo
keshokutwa Desema 9 mwaka huu maadhimisho hayo yatafanyika katika uwanja
huo Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.
(PICHA NA FULLSHANGWEBLOG.COM)
Kikosi cha jeshi la Magereza kikipita
mbele ya maofisa hao
Kikosi cha Bendera kutoka Jeshi la
Wananchi la Tanzania JWTZ kikipita.
Kikosi cha Wanamaji kikitembea kwa
Mwendo wa Polepole.