PINDA AENDA KUMJULIA HALI BABA YAKE MZAZI ALIYELAZWA MUHIMBILI

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimjulia hali jana jioni, Baba yake mzazi Mzee Savere Kayanza Pinda ambaye amelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili   kitengo cha Moi, Dar es Salaam. Mzee Mizengo yupo hospitalini hapo baada ya kufanyiwa upasuaji kutokana na tatizo la nyonga. Kulia kwa waziri mkuu ni Muguzi wa zamu, Edna Mhina  na kushoto kwa waziri mkuu ni  Donatila Kwelukila ambaye ni Ofisa uguzi chumba cha wagonjwa mahututi  MOI,.Picha na Chris Mfinanga


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright 2025 EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo