
Mwenyekiti wa CUF,Profesa Ibrahim Lipumba.
---
CHAMA cha Wananchi (CUF) Wilaya ya Liwale, Mkoa wa Lindi,
kimevunja kambi iliyokuwa inategemewa na Chama Cha Mapinduzi ya Kijiji
Cha Mkundi, kata ya Makata baada ya wanachama wote wa tawi hilo
kujiunga CUF.
Wanachama hao wapatao 310 wa kijiji hicho ambacho
kilikuwa kinafahamika kwa jina la utani la Dodoma ikiwa na maana ya
makao makuu ya chama tawala walikabidhi kadi za CCM ili wakabidhiwe za
CUF na Mjumbe wa Baraza la Ushauri Taifa la CUF ambaye pia ni Mbunge wa
Lindi Mjini, Salum Barwany.Kwa Habari zaidi Bofya na Endelea.......>>>>>