Ajali hii ilitokea maeneo ya Marangu mtoni ikihusisha gari la Tanesco na Taxi
Hii ni barabara ya Marangu hadi Rombo ambayo imejengwa kwa kiwango cha lami lakini wananchi wanaiomba serikali iweke haraka alama za barabarani
Moja ya vifaa vya kukusanyia taka vilivyoko barabara ya Himo - Marangu ambavyo hutumika kutupia taka na kufanya eneo hilo kuwa safi
Picha tatu za juu zinaonesha kijana mmoja ambaye jina tunalihifadhi akiwa amelewa chakari pombe aina ya mbege aliyoinywa kwenye sherehe moja hivi, yaani noma hadi amejiko...........!