BREAKING NEWS:JOHN MNYIKA ASHINDA RUFAA YA KUPINGA USHINDI WAKE KATIKA JIMBO LA UBUNGO


Mbunge wa jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam, John Mnyika, ameshinda rufaa ya kupinga ushindi wake wa Ubunge katika jimbo hilo.

Hiyo ni baada ya aliyekuwa mpinzani wake kwenye uchaguzi wa mwaka 2010 Hawa Nghumbi(CCM) aliyekata rufaa dhidi ya matokeo ya ushindi wa Mnyika kuondoa rufaa yake asubuhi ya leo.

Kesi hiyo ilikuwa ikisikilizwa na jopo la majaji watatu wa mahakama ya rufani.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo