Ukumbi wa mikutano dodoma
Hivi ndivyo makao makuu ya CCM yatakavyokuwa. Huu ni mchoro unaoonesha
 |
Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akiwasili Makulu ,Dodoma tayari kwa sherehe za uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa ukumbi na majengo ya Ofisi za makao makuu ya chama.
|
 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Dk. Jakaya mrisho Kikwete akiwasili eneo la Makulu,Dodoma kwenye sherehe za kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa ukumbi na ofisi za makao makuu ya chama.
|
 |
Rais Jakaya Kikwete akipokea hati ya Kiwanja kitakachotumika kujenga, Ukumbi,Ofisi za Makao Makuu na Hotel ya hadhi ya nyota tano kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya CDA,William Lukuvi.
|
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi