RAIS JAKAYA KIKWETE AFUNGUA RASMI KIKAO CHA KAMATI KUU NA NEC DODOMA LEO



Nape Nnauye ,Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akipiga gitaa la rhythm  na kuimba wakati wa ufunguzi wa kikao cha Kamati Kuu na NEC leo Dodoma.




Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Chipukizi ,tayari kufungua kikao cha Kamati Kuu na NEC leo Dodoma.



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akivalishwa skafu na chipukizi  alipowasili Makao Makuu ya Chama leo Dodoma.


Pandu Amir Kificho spika wa Baraza la Wawakilishi akijadiliana jambo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano,Anna    Makinda, kushoto ni Kapteni John Chiligati.



Rais wa Jamhuri wa Muungano na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi,Jakaya Mrisho Kikwete akifungua kikao cha kamati kuu Dodoma leo




JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo