Wasanii wa kundi la Empowerment Music Group YJ na MR RED wakifanya mahojiano na mtangazaji Ergon Sanga "Elly" katika 970 show ya Kitulo FM mchana huu
Kundi la Empowernment Music Group lililotamba na wimbo wa Mapenzi na shule hivi sasa limeachia rekodi yao mpya inayoitwa Si kosa lake hii leo kupitia studio za KItulo FM
Ngoma hiyo wameifanyia katika studio za Digital Vibes zilizopo mkoani Morogoro