HALI YA MAFUTA MKOANI MBEYA NI MBAYA


Baadhi ya wananchi wa jijini mbeya wakiwa wamekesha kwenye kituo hicho toka jana mpaka sasa bado hawajapa mafuta kutokana na kuwa nafoleni kubwa ya magari na pikipiki huku wenye madumu wakiwa wamepanga foleni kuweza kubahatisha mafuta 

Baadhi ya vijana wamepata ajira isiyo rasmi kwa kulangua mafuta aina ya petrol shilingi 5000 kwa litamoja nao wakiwa wengi wao wamechoka na kulala kituoni hapo kusubiri kupata mafuta na kwenda kuyauza kwa bei ya juu


Bei halisi ya mafuta ni hiyo lakini sasa walanguzi bei imepanda kwa aina ya mafuta ya petrol lita moja kwa shilingi 5000 mpaka sh 6000 kwa lita moja

Hiki ndiyo kituo peke kinachouza nishati ya mafuta jijini Mbeya.
Na mbeya yetu



JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo