Waziri wa Uchukuzi,Harison Mwakyembe (aliyesimama) akisisitiza jambo kwa wafanyakazi wa Mamlaka ya
Bandari Tanzania(TPA),mchana huu,wakati akiwataka kuongeza ufanisi
katika utendaji kazi wao.
Waziri wa Uchukuzi,Dkt. Harrison
Mwakyembe (aliyevaa tai nyekundu),akimtambulisha Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa
Mamlaka ya Bandari (aliyenyoosha mikono)Mhandisi Madeni Kipande,mchana
huu alipotembelea Bandari hiyo.
Waziri wa Uchukuzi wa Uchukuzi
amewasimamisha Maneja wa Bandari ya Dar es Salaam,Meneja wa Kurasini Oil
Jet(KOJ),Meneja wa JET,Mhandisi wa kituo cha Mafuta(Oil Terminal
Engineer),Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari(TPA),na Wakurugenzi
Wakuu Wasaidizi wawili wa Mamlaka hiyo kupisha Uchunguzi wa tuhuma
mbalimbali zinzoikabili Mamlaka hiyo. (Picha na RAHA ZA PWANI BLOG)