Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisaini kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa mwigizaji mahiri nchini, marehemu Steven Kanumba, nyumbani kwake, Sinza jijini Dar es salaam, Aprili 9, 2012
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya waombolezaji wakati alipokwenda nyumbani kwa marehemu Steven Kanumba Sinza jijini Dar es salaam Aprili 9, 2012 kutoa pole kwa ndugu na jamaa wa marehemu.Picha na Ofisi Ya Waziri Mkuu