Picha hizi zinaonesha barabara ya Makete Njombe eneo la Mabehewani wilayani Makete ikiwa imeharibika kutokana na mvua zinazonyesha wilayani humo, majuzi basi la Mwafrika linalofanya safari zake kati ya Makete Iringa lilikwama hapo kwa zaidi ya masaa matatu
MAHAFALI NDAKI YA MBEYA YAFANA
52 minutes ago





