Mbunge wa Ludewa (CCM), Deo Filikunjombe akisaini karatasi inayokusanya saini za wabunge za kutokuwa na imani na Waziri Mkuu kwa lengo la kuwasilisha kwa Spika mjini Dodoma. Kulia ni Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Kabwe Zitto. (Picha na Mohamed Mambo).
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Ludewa (CCM), Deo Filikunjombe nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma. (Picha na Mohamed Mambo).
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Ludewa (CCM), Deo Filikunjombe nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma. (Picha na Mohamed Mambo).