LEO NI BIRTHDAY YANGU, NIMETIMIZAMIKA 28, NAMSHUKURU SANA MUNGU, WAZAZI WANGU MAREHEMU MZEE HARRISON MOSHI, MAMA YANGU AMANDA HARRISON MOSHI, KAKA YANGU EDGER MOSHI, WADOGO ZANGU EVANCE, ELISIA NA ERICK, MCHUMBA WANGU ANNA, WAFANYAKAZI WENZANGU WA KITULO FM NA MARAFIKI ZANGU WOTE
AHSANTENI SANA NA TUPO PAMOJA