Ester(kulia) akiwa na rafiki yake Angel
Ester kwa raha zake
hapa akizima mshumaa
Ester akimlisha keki mama yake mzazi
Dj Coni wa Kitulo Fm akiwa na Ester
Chadema nao walikuwepo (Deezy&Taty Kutoka Kitulo Fm)
Deezy na Tatu wakisakata rumba