Nyumba walizopanga wanafunzi wa shule ya sekondari Máng''oto wilayani Makete wakati mwingine mazingira kama haya yanachangia wanafunzi kufeli na wengine kujihusisha na vitendo vya ngono na wengi wao hupata mimba kutokana na kuwa huru katika mageto haya
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi