JUMAPILI YA TAREHE 5-2-2012 KUTAKUWA NA MECHI KALI BAINA YA WANAMUZIKI WA DANSI (BENDI ZOTE MF FM ACADEMIA, EXTRA BONGO, TWANGA PEPETA, MASHUJAA MUSICA NK) NA BONGO MOVIE WAKIWA WAMECHANGANYIKANA NA WACHEKESHAJI (COMEDIANS) KWENYE UWANJA MPYA WA TAIFA-.
NI MECHI YA HISANI KUCHANGIA WAHANGA WA MAFURIKO YALIYOTOKEA DAR ES SALAAM……TUNAOMBA TUUNGANE KATIKA HILI KWANI JAMII ILIYOPATWA NA ATHARI NI WATANZANIA WENZETU NASI
(HABARI KWA HISANI YA PRO-24)