Mara baada ya ya kuwa katika mahusiano na wanaume tofauti tofauti,wakiwemo wasanii wa bongo Flever wakiwemo Mr Blue,Tid,Diamond.
Chalz Baba,Mcheza filamu Steven Kanumba na wengine wenye shughuli tofauti tofauti,Wema ameibuka na mpya mara baada ya kudai kwa sasa anahitaji mwanaume mtu mzima ambaye hana wivu na hataki tena mashaobaro kutoka na mda wote hupenda kuwa karibu na wapenzi wao badala ya kufanya kazi.
"Kila kitu kina mwanzo na mwisho mimi Diamond mapenzi yamefika mwisho,kutokana na usharobaro wake ndio uliosababisha haya yote kutokea.
Watu wanajiuliza je tatizo lipo kwa wanaume,ambao Wema ameamua kuwaita masharobaro wa mapenzi ama ni yeye ndiye mwenye gundu?Kazi ni kwako wewe mdau...Kama unavigezo jivute kwake!!!!
(Habari kwa hisani ya Pr0-24)