Hii ni picha ya dada mmoja ambaye inaaminika alikuwa Bikra na alizikwa akiwa hai na mmoja wa machifu wa kichagga waliofariki zamani hizo. Maana ya kumzika akiwa hai kuwa kwa mila na desturi za kichaga ni heshima kwa Chifu wa kichaga kuzikwa na binti bikra ambaye yuko hai!