RAIS JAKAYA KIKWETE AMBAYE NI MWENYEKITI WA CCM TAIFA AKIMPONGEZA SHITAMBALA KWA KUJIUNGA NA CCM AKITOKEA CHADEMA
WAKATI HUO HUO......................................CHAMA cha demokrasia na maendeleo Chadema Mbeya mjini kimesema kuondoka kwa aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho mkoani hapa Sambwee Shitambala aliyetimkia CCM hakuwezi kukizorotesha chama badala yake kitachanua mara tatu zaidi.