Watu 15 wanusurika kufa ajali ya daladala

Watu zaidi ya 15 wamenusurika kifo baada ya gari ya dogo la mizigo kugongana na daladala inayofanya safari zake kati ya Moshi mjini na Mwika mkoani Kilimanjaro katika eneo la Shaa Tours.


Hata hivyo majeruhi wote wamechukuliwa na kupelekwa Hospitali ya Mkoa ya Mawezi.

Hata hivyo jitihada za kumtafuta Kamanda wa polisi Mkoa wa Kilimanjaro zinaendelea


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo