Mbunge ashangaa Pombe ya Gongo Kumwagwa na Mwenge

Mbunge wa jimbo la Momba Condester Sichwale ameshangazwa na hatua ya wabunifu wanaogundua pombe aina ya gongo kubezwa na pombe hiyo kumwagwa badala ya kuungwa mkono kutokana na ubunifu walioufanya


Akizungumza bungeni jijini Dodoma leo Mei 5,2023 wakati akichangia bajeti ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara mbunge huyo amesema haoni sababu ya watu hao kudharauliwa na kubeza ubunifu wao


Mbunge huyo ambaye ametinga bungeni na rundo la chupa za pombe zinazozalishwa ndani na nje ya nchi, amesema nchi inatakiwa iwe na utaratibu wa kuheshimu mawazo ya watu wa chini ambao ndio wazalishaji wa pombe ikiwemo gongo na nyinginezo za kienyeji


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo