Baba ajichoma moto na wanawe hadi kufa


Watu wanne wa familia moja wamefariki dunia wilayani Kilosa mkoani Morogoro baada ya kuungua kwa moto usiku wa kuamkia hii leo Mei 5, 2023.


Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro, ACP Alex Mkama amethibitisha kutokea kwa tukio hilo kusema uchunguzi wa awali umeonesha chanzo cha vifo hivyo ni baba kuichoma moto familia hiyo na yeye akiwemo.

Kwa mujibu wa majirani huenda hatua hiyo imesababishwa na ugumu wa maisha.

Waliokufa kwenye tukio hilo ni baba wa famlia hiyo, Amani malekela (72) na watoto wake Habibu Amani (10), Sadick Aman na Bahati Amani (5).





JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo