Aolewa Kwa Mara ya Kwanza Akiwa na Umri wa Miaka 68

Mwanamke wa Nigeria hatimaye alimepata ubavu wake akiwa na umri wa miaka 68 baada ya miaka mingi ya kusimangwa na watu.


Katika video hiyo, mwanamke huyo alionekana kuwa mwingi wa furaha alipokuwa akijiandaa kwa sherehe yake ya bibi harusi.


Matukio mengi sana yalinaswa kwenye video fupi iliyopakiwa kwenye instagram kutokea alipokuwa akijipodoa na kisha aliposhikilia koja la maua jekundu akiwa tayari kupokezwa kwa mume wake. Mapodozi ya ustadi yalifanya uso wake kung'aa na kumfanya kupendeza zaidi, kisha anaonyeshwa akielekea kwa ubavu wake.


Wanamtandao wengi walionesha mshtuko kwamba kuna uwezekano wa kumpata mume katika umri huo.

Kamene aolewa Mwanamke wa Nigeria hatimaye alimepata ubavu wake akiwa na umri wa miaka 68 baada ya miaka mingi ya kusimangwa na watu. Kamene Goro na mpenzi wake wa muda mrefu DJ Bones walifunga pingu za maisha katika hafla ya faragha. Wawili hao walionekana kupendeza mno huku Kamene akivalia gauni la hariri la rangi ya pinki na mpenzi wake akipiga pamba za rangi tofauti na koti la waridi.


Bibi arusi alivalia mkufu mkubwa ulioonekana kama wa almasi na pete za kifahari. Bwana harusi wake alikuwa amevaa shati jeupe na suruali nyeusi na viatu vyeupe.

Chanzo: TUKO.co.ke 


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo