Gari aina ya Toyota yenye namba T 731 DXB limegonga Treni maeneo ya Usinge Mkoani Tabora, na hadi taarifa hii inachapishwa kulikuwa hakuta taarifa za kifo kilichotokea wala majeruhi.
Tanzaniawebinaendelea kuwasiliana na Mamlaka husika akiwemo Kamanda wa Polisi Mkoani Tabora, ili kuweza kupata taarifa zaidi.