Ndege ya Precision Air Yatua Kwa dharura, Nyingine yapata hitilafu


Shirika la Ndege la Presicion Air limethibitisha kuwa ndege zake mbili zimeshindwa kufanya safari zake kama kawaida baada ya ndege moja kupata hitilafu na nyingine kulazimika kutua kwa dharura.


Kupitia taarifa ya shirika hilo limesema moja ya ndege zake ilipata hitilafu ya kiufundi hivyo kusababisha kuchelewa na kuahirishwa kwa safari na nyingine ililazimika kutua kwa dharura baada ya kugonga kiumbe aina ya ndege wakati ikiruka kutoka Dar Es Salaam kuelekea Dodoma.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo