Mtuhumiwa wa Ujangili Ruaha atiwa nguvuni

Michael Mwambaja anashikiliwa na Askari wa Hifadhi ya Taifa ya Ruaha kwa tuhuma za kuua Twiga na kuchoma nyama yake aliyokuwa amepanga kwenda kuiuza.


Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amesema limetokea usiku wa kuamkia Februari 7, 2023 katika kijiji cha Madundasi kinachopakana Hifadhi ya Taifa ya Ruaha.

Amesema, kukamatwa kwa mtu huyo kunatokana na msako uliofanywa na askari hao wa Hifadhi ya Taifa ya Ruaha ambao bado wanamsaka mtu mwingine anayedaiwa kushirikiana na Mwambaja.

TFS yataka ushirikishwaji kupunguza gesi jotoBishara ya Kaboni: Watanzania wahimizwa kupanda mitiMtuhumiwa huyo (Mwambaja), pia alipatikana akiwa vitu mbalimbali ikiwemo dawa za asili ambazo humsaidia asionekane na askari na pia wanyama wasiweze kukimbia.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo